Habara wakuu
Naandika haya kwa kuwa kuna baadhi ya vyuo nchini vikiwa vinatoza direct cost kubwa ambayo no zaidi ya ada ya semester moja
Mfano kunachuo kipo bagamoyo ada take n 1250000/=tshs...
Nimechaguliw awamu ya tatu na coz nloipata niliijaza mwisho na sikuwa na malengo nayo, naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kufanya transfer kwa muda huu?
Aliyekuwa Waziri wa Elimu katika Serikali ya Awamu ya 3 ya Raisi Benjamin Mkapa, Joseph Mungai, afunguka na kujadili kwa kina kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika elimu Tanzania wakati wa...
HAbari wanandugu wa jamii forum
Hivi anavyofanya Ndalichako ni kuua elimu ama kuinua elimu? Kwa sisi wenye diploma tunaotaka kujiunga na chuo kwa mwaka huu wa masomo wametuzungushaa weee mwsho...
Kwa yeyote anayesoma Koz ya Medicine kampala international university dar es salamu naomba anijulishe topic ambazo wamdshasoma Kuna mdogo wangu bado anasotea Ada ila...
Msaada kuhusu hiki chuo naombeni kujua kama hiki chuo cha kilimo taifa in cha serikali au lah!
Na je kimesajiliwa??? Plz kama unachochote hebu nisaidie
Kwa heshima kubwa kabisa . naomben ushauri wenu nina mdogo wangu kachaguliwa kusoma Architecture sasa bahat mbaya ye alisoma HGE(KAPATA DIVISION 1 POINT 7) japo O level alisoma science na...
Nini hatima ya maisha ya hawa vijana waliokuwa wakisoma kozi hizi:
· Higher Diploma in Secondary Education (3yrs)
· Ordinary Diploma in Primary Education (3yrs)
·...
Habar zenu wadau
Poleni na Majukumu ya hapa na pale katika Maisha.
Nimepata Sponsor ameniambia nichaguwe kozi moja ya kusoma kati ya hizo mbili.
Je ukisoma ipi hapo itakuwa na future nzuri hapo...
Naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo;
1. Tathimini ya matumizi ya saikolojia katika Elimu
2. Mapungufu ya matumizi ya saikolojia katika ujifunzaji na ufundishaji mashuleni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.