PSPA iko poa ina politics hasa first year semester zote mbili, public administration, pia Kuna course za kuopt kutoka international relations na human resources mgt na sociology kidogo kama course mbili au tatu...Me napenda sana PsPa mkuu..yani toka kitambo nina ndoto za kusoma hiyo
Sawa mkuu..sasa kwa pale udsm wanachukua watu waliopata pointi ngapi?PSPA iko poa ina politics hasa first year semester zote mbili, public administration, pia Kuna course za kuopt kutoka international relations na human resources mgt na sociology kidogo kama course mbili au tatu...
Kama unampango WA kuajiriwa, ajira zake ni public administration na human resource management though siku hizi unaweza kufanya kazi ambayo hujaisomea
Kila LA kheriiiiii
Kwani HRM ina deal na nini hasa?Ila kwa upande mwingne LAW is the BEST na ni kozi ambayo ukihitimu Law School na kupata cheti cha ufaulu utakuwa ni product yenye thamani sokoni tofauti na kozi zingne ambazo unaweza toa jasho sana lakin at the end unakuwa AN ARTICLE OF NO COMMERCIAL VALUE. Law ina uwanda mkubwa sana wa soko.
Sifaham kwa sasa,Sawa mkuu..sasa kwa pale udsm wanachukua watu waliopata pointi ngapi?
Nini ndoto yako? Je, kati ya hizo hapo juu inakufikisha unapotoka? Ndoto yako ndio muhimu kuliko vyote mkuu! 0765441161 ndio namba yangu, nitafute kuanzia saa mbili usiku tujadiliane
Okay.But nimesikia wanataka division 1 pekeeSifaham kwa sasa,
Tafuta prospectus ya UDSM
Japo kwa sasa utapata ya 2015/2016
Ushauri wangu Subiri matokeo then wakat WA kuapply vyuo Huwa kunakuwa na miongozo... Mie nshasahau sasa ni kitambo sanaaaa