demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Nimekuwa nikifanya application awamu ya pili na ya tatu. Awamu hizo zote nilikosa kupata chuo. Leo tar 24 limefunguliwa dirisha kwa awamu mpya ya nne ya kuchagua tena vyuo .
Ila cha kushangaza hakuna option inayoniwezesha kudelete machagua ya vyuo vya awamu ya 3 ambayo nilikosa, ili niweze kufanya machaguo mapya ya vyuo awamu ya 4.
Kwa wale vijana wenye kuwa na la kunishauri naombeni msaada hapo.
Hii ni screenshot ambayo ilitokana baada ya kukamilisha application ya awamu ya 3.

Wakuu shikamooni kwa ujumla wenu mdogo na mkubwa!
Tupo mtu kama 12 hv hapa cafe tunafanya application ya vyuo kupitia TCU.
Tumelipia kila kitu kiroho safi kabisa. Lakini kuna shida sehemu. SYSTEM HAIKUBALI ILE OPTION YA KU ADD VYETI VYA O NA A LEVEL KWA WALE WALIOWAHI KURISITI MITIHANI. INASEMA ERROR 404.
Deadline kesho kutwa tarehe 26. TUMEWAPIGA SIMU WEEEEEEEEEE LAKINI SIMU HAIPOKELEWI AMA UNAKUTA IPO BUSY.
Kwa yeyote mwenye jamaa yake pale tcu tunaomba atusaidie atuwasilishie hili tatizo mezani kwao.
Tunatanguliza shukrani zetu kwenu.