Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Haya wale wa Tumaini University Dar es salaam Collage tukutane hapa tupashane taarifa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf kuna ndugu yangu kapangiwa hicho chuo. so kama kuna mtu anakifahamu naomba anisaidie kipo maeneo huko dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salam Wanabodi, Tujitwike mzigoni. Ikiwa zimepita siku chache tangu serikali kupitia Naibu Waziri wa Elimu Mh. Stella Manyanya kutoa taratibu mpya juu ya utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu...
23 Reactions
101 Replies
12K Views
Mh.Eng.Stella Manyanya-N/Waziri wa Elimu,utamaduni na Michezo. SERIKALI iko katika mkakati wa kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo katika fani za kipaumbele, kutumikia katika utumishi wa umma...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanajf,hii course Niliichagua consciously bt ningependa msaada wenu,je iko poa au siyo,,nilitaka nikabadili nichikue MD nikienda chuo_muhas
2 Reactions
35 Replies
8K Views
Wadau,Kama umechaguliwa Eckerniforde Tanga university au Chuo chochote kilichopo jijini tanga,Mimi Ni mwenyeji ambaye nimezaliwa Na kuishi Sana jijini tanga,,,,, maisha ya tanga hayatofautiani Na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wandugu..... Mdogo wangu kachaguliwa hiyo kozi chuo kikuu cha sokoine sua,,,,naomba mtu ambaye yuko kwenye hiyo field au yeyote mwenye kujua anisaidie yafutayo:: 1. Kama ni ajira unaajiriwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Jaman naomba kuuuliza.maswali tatatu. Je umri ni kigezo kinachoweza kumfanya MTU acpate mkopo was chuo? Swali la pili je.kama nliwahi kuomba TCU Mara mbili na kuchaguliwa lakini sikuenda chuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKIMALIZA MASOMO mje muisaidie jamii kwa kile mlichokipata chuoni, sio mkikosa ajira mnasema tukalime au kufuga kuku, kila mtu kwa taaluma yake aitumie kujiajiri hapo maendele tutayafikia haraka.
2 Reactions
0 Replies
547 Views
Habari zenu Nilikuwa najaribu kuingia tcu kuchek kama Niko selected imeniletea hivyo na nimeingiza form 4 index na e-mail pia majibu ni hayo hayo..Nisaidieni ina maana gani hii??
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kumbukumbu ya miaka 55 toka kuasisiwa kwa chuo kikuu Dar es salaam yanaendelea hapa chuoni,chancellor hon.Dr.J.K Kikwete yupo kama mwenyeji! Prof.Tade Aina toka Nigeria,jaji mstaafu Warioba na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi ndg zangu. Upo msemo usemao adui wa walimu ni mwalimu mwenyewe. Katika nchi hii walimu wanashiriki ktk kujenga tabia ya kudharauliwa na wakuu/waajiri wao. Hivi ni njaa au kitu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Tujifunze baadhi ya vifupisho kama vipo vingine share ili kila mtu apate kujua kwani imekua shida sana kwani si kila mtu anajua baadhi ya vifupisho share ili tujue sote MMI NIMEANZA NA HIVI HAPA...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Habari wakuu. Moja ya kazi za mwalimu ni kusahihisha(marking) na kupanga matokeo. Okoa muda wa kufanya zoezi hili kwa kutumia Ms excell iliyoratibiwa ambapo wewe utarekodi Jina na marks tu za...
1 Reactions
0 Replies
735 Views
jamani naombeni ushauri nifanyaje mana tcu wamesema kuaply tena mpk mwakani
2 Reactions
104 Replies
10K Views
Huyu mtu kamaliza mtihani wake wa diploma in dental thrapy NTA level 6. sasa unampa GPA ya ngapi maana kaaply na smekosa vyuo vyote.Hawa NACTE wanapangaje? 73- 60- 60- 57- 58- 60- Sasa huyu...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari wakuu!! Kama Bado Hujajua Kuhusu Loan allocation yako install firefox app zen itumie kuangalia vitu mbalimbali iko vizuri sanaaaa!!!!
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Wakuu naombeni msaada namna ya kuomba transfer. Ni procedures zipi inatakiwa nifuate? Kuhusu kigezo cha kujua kama chuo bado kina nafasi, je inatakiwa niende direct chuoni kuulizia kama kuna...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Back
Top Bottom