Kwa waliomba transfer kwenda vyuo vingine

Kwa waliomba transfer kwenda vyuo vingine

mashishanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
611
Reaction score
429
Kwa wale walioomba transfer vyuo vingine mfuatilie wengine wameshajibiwa kama upo mikoani ni vizur kuwapigia cm chuo unachotaka kuhamia ili wakupe jibu
 
Kwa wale walioomba transfer vyuo vingine mfuatilie wengine wameshajibiwa kama upo mikoani ni vizur kuwapigia cm chuo unachotaka kuhamia ili wakupe jibu
Naomba kujua transer unaenda kuomba tu chuo husika au unaandika barua?
 
Unaenda kulizia nafas chuo unachotaka kuhamia afu unaandika barua yakuomba kuhama unapeleka chuoni afu wanapeleka tcu ila ambatanisha na profile tcu ulipochaguliwa mwanzon na vyet vyako
 
Back
Top Bottom