Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,955
- 8,923
Wakuu hivi karibuni nimekuwa na shauku ya kusoma kozi ya Education in mathematics. Katika kutafuta chuo, nimekuta hii kozi imeongezewa Informatics ndani yake. Mimi nina Diploma in Electronics and Telecommunications ya 2010.
Wakuu nijuzeni upatikanaji wa mkopo na yaliyomo kwenye Kozi hii.
Wakuu nijuzeni upatikanaji wa mkopo na yaliyomo kwenye Kozi hii.