Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,566
Sielezei sana ila nina uhakika kwa muelewa atakuwa amekwishaelewa,hapa serikali ilibidi iwe inatuma yenyewe vifaa full kwa ajili ya mitihani na siyo kuwapa walimu waandaaji pre-instructions ambazo huwapelekea kuanza kuandaa vifaa vingi kupitia stationaries,huko wao kwa sababu wako kibiashara na hawana ethics za kazi basi inakuwa rahisi kupredict nini kinaenda kutoka kwenye mitihani hivyo kuweka mazingira rahisi sana ya kuvujisha mtihani.
ukweli ndio huo.
ukweli ndio huo.