Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Niaje watu wangu wa Nguvu. Chuo kinafunguliwa rasmi j3 yaan trh 31 jpo wapo walioanza kufika tangu jana j5. Kwa mahitaji ya kudownld na kuprnt admission later na form nyingine ufikapo ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asalam Aleykum ,JF members Napenda kujua jinsi nitakavyoipata admission letter ya diploma in pharmacy ya UDOM.Anayejua tafadhari!!!!
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman nngependa kuuliza iv ukiwa unasoma chuo fakat flan je unaweza kubadili mfano unasoma MD ukasoma nursing iz it possible hususan kwa as mwka Wa kwanza
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu naombeni ushauri wenu,najua humu kuna wataalam wa haya mambo.Nimehitimu form six lakini bado sijajua niombe nini ila mapendekezo yangu ni Engeneering mbili hizo,Nisome ipi, ingekuwa vizuri...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Form two timetable Ni 14 November
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wizara ya Mikopo Chuo kikuu Dar es salaam inawatangazia wanafunzi wote na kuwapa mrejesho juu ya masuala ya mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea na mwaka wa kwanza. 1. WANAOENDELEA NA MASOMO...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
habari wadau.. mwaka jana kila mtu aliupata mkopo hadi wasiotegemea kuupata nao waliupata. kozi zote zilineemeka na vyuo vyote cbe, ifm, udsm, tia hadi walioomba mkopo kibahati tu maana...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Msaada jmn kwa non degree kutakuwa tena na muda w kufanya transfer au ndo 2017 tens
0 Reactions
3 Replies
824 Views
Habari za jioni wanajf. Naulizia kama kuna mtu amesoma masters ya chuo cha JomoKenyata tawi la Tanzania..anipe experience yake, wako vizuri? Kwa maana ya ufundishaji na facilities nyingine.
1 Reactions
1 Replies
854 Views
Msaada Kwa Anaekifahamu chuo cha Ualimu singida nahitaji mawasiliano ya chuon pia fomu husika kwa ajili yakujiunga.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wana JF kuna taarifa zimezagaa kwamba bodi ya mikopo imefuta majina ya waliopangiwa mkopo na kuanza process upya kuna ukw wowote hapa ¿
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Viongozi wamewataka wanafunzi wote, kutosaini pesa za kujikimu mpaka pale wanafunzi wote watakapopewa elfu nane na mia tano kwa siku kama ilivo kawaida. Sikiliza audio KITENDO cha wanafunzi wa...
11 Reactions
255 Replies
42K Views
Kwa taarifa zoote zinazohusu chuo cha chetu cha IFM ziwekwe katika huu uzi TAARIFA ZOOTE HAPA
2 Reactions
3 Replies
2K Views
(Math and Phiysics) which is better marketting and salary
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu hali inazidi kuwa ngumu..!! Siku hizi nakula mlo mmoja tu usiku. Tena wali maharage 1000/= Bila hata maji ya kunywa. Wazazi hawana pesa wanasema wamekopa mpaka wamechoka. Naombeni ushauri...
4 Reactions
158 Replies
16K Views
Naombeni kuuliza kozi ya aircraft maintanance engineering inayotelewa kwa diploma VP ajira yake mbele na ada kwa anaejua?????
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mdogo wangu aliapply chuo nacte toka mwezi wa sita mpaka leo hajapata majibu je kuna uwezekano wa kupata? Yeye ni diploma holder ya information technology na ana GPA ya 3.7
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie kuniambia ni vitabu gani bora kwa kusomea especial ngazi ya certificate na Diploma!?
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Tujuzane yanayojiri, tunayoyajua na tusiyoyajua. Tushirikiane tukaanze masomo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sorry wakuu nimeulizwa swali nikashindwa kulijibu ......eti unaeza ukasoma certificate ya ICT then diploma ukahamia accountancy????[emoji389]
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom