Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), imetangaza mpango wa kupitia upya na kusitisha mikopo wanafunzi wote inaodai kuwa walipewa mikopo lakini hawakidhi vigezo vipya vya utolewaji...
10 Reactions
137 Replies
16K Views
kwa sasa bod ya mikopo,hawaelewi na hawako well organized,ktk zoez mzima la. Kutoa mikopo,Mimi nilichaguliwa course priority mwaka jana bachelor of education with math,ckupata mkopo,ni...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
watu wengi nikiwemo mm nlijaribu ku login kwenye account yangu ili kuona kujaza hilo dodoso lakini cha ajabu naambiwa niingize neno lilopo below lakin cjafanikiwa kwa maana inagoma login ..sasa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuhusu Dododo ni hadi continue au First year 2!!!?
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Je kuna diploma holders ambao wamekwisha pata mkopo?,maana hali huku siyo shwari majina chuoni yametoka ila langu na ya wenzangu watano niliyotokanao diploma hayapo na programmes tulizopata wote...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Dodoso limetoka,jaribu kulog in kama mtu aliedahiliwa tayari utaliona dodoso.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani wanajamvi kwanza naomba maadimin wasiuunganishe huu uzi na uzi mwingine lengo nikuelezea bayana wizi ambao bodi ya mikopo inataka kuwafanyia wananchi maskini. Kwanza ikimbukwe waliiomba...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
za asubuhi ndugu Zanguni mimi nilikuwa naomba mwenye uelewa anifahamishe juu ya koz ya diploma hiyo ya education technology je, mtu akisoma anakuwa mwalim ???? au anakuwa nani????? maana kunda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ile form ya pale HESLB ni kwa ajili ya wanao-appeal au dodoso ya continuous students au vipi tusaidiane ili tuweze kumfanya kila mtu awe uptodate
1 Reactions
7 Replies
2K Views
UKISIKIA KWAMBA MWENDOKASI BILA UMAKINI UNAUWA ..BASI KUUWA KWENYEWE NDIO HUKU... BODI YA MIKOPO/HESLB... Kwa mujibu wa Bw. Badru, kundi la kwanza linajumuisha wanafunzi waombaji wa mikopo wenye...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
kwani batch ni moja tuu au nyingine tuzisubiri???
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Watu wengi wanaamini kuwa Professor ni ishara ya kuwa na uwezo mkubwa wa kujua mambo mbalimbali. Je ni professor gani unayemkubali kwa mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Malizeni salama muingia kidato cha tano na kumaliza cha sita mkutane na mitihani ya bodi ya mikopo.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa waliochaguliwa chuo cha Tumaini tawi la mbeya Tuonane hapa
1 Reactions
12 Replies
2K Views
ningependa kujua wakuu eti ukiwa na GPA nzuri ya IT diploma.. unaweza kusoma software engineering?? mawazo yenu muhimu nakaribisha
0 Reactions
3 Replies
738 Views
Habari wakuu! Leo nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa Heslb kwa ajili ya kujaza hilo dodoso lakini naambiwa "You did not login successful" "Sorry, you are logged into the system. If you have not...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Yawezekana mwaka huu mvua nayo ikasimamishwa kwanza ili kupisha uhakiki wa wakulima hewa.... Nawaza tu lakini maana serikari yetu kwa uhakiki wa hewa hewa duh wako vizuri.
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Miaka ijayo tutakuwa hatuna wataalamu wa HISABATI....nadhani sasa ni wakati MTIHANI WA HISABATI KUCHAGUA MAJIBU A..B..C..D..E ufutwe haupimi kitu chochote....Wanafunzi haumizi kichwa kufanya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuuliza wanajamiiforum ivi ule utaratibu wa wanafunzi wa shule za sekondari kurudi shule kusoma masomo ya Jioni ( Remedial ) , na kutiliwa mkazo sana na serikali za sasa,,, Ni kweli mpango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gone are the days viongozi walikua wanasimamia maslahi ya wanafunzi wao. Kwakweli for all years nipo UDSM sijawahi kuona viongozi bomu kama wanaojiita white DARUSO. The president hata Head boy...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom