Hongera Professor

Hongera Professor

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Watu wengi wanaamini kuwa Professor ni ishara ya kuwa na uwezo mkubwa wa kujua mambo mbalimbali. Je ni professor gani unayemkubali kwa mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa?
 
Prof Lipumba mwana uchumi alieacha record pale mlimani na advance Egm akiwa na misonge mitatu ila sasa ukija kwenye thinking capacity utashangaa na kujiuliza huyu jamaa real ni professor au reprofesa
 
Mamburula tu wote... Kwanza sijawahi sikia walichogundua.... kimesaidia nchi au Dunia wengi ni copy and paste

Yule Jamaa wa Mbeya alijifanya kutengeneza Helicopter ana akili kuwashinda hawa wenye vyeti...
 
Our professors are hopeless. Wakiongea nje ya darasa hawana tofauti na kibajaji lusinde.
 
Back
Top Bottom