HESABU ZA KUCHAGUA DARASA LA SABA

HESABU ZA KUCHAGUA DARASA LA SABA

kakamera

Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
29
Reaction score
7
Miaka ijayo tutakuwa hatuna wataalamu wa HISABATI....nadhani sasa ni wakati MTIHANI WA HISABATI KUCHAGUA MAJIBU A..B..C..D..E ufutwe haupimi kitu chochote....Wanafunzi haumizi kichwa kufanya hesabuu hv sasa...chonde chonde Serikali ibadili mfumo
 
Kwa staili hii mtu.anafaulu vizuri hesabu lakn hata.kujumlisha hajui
 
Back
Top Bottom