Dodoso la heslb limetoka kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo wanufaika wa mikopo.

acha kupotosha umma...
Dodoso bado kutoka...
Kile unachokiona kwa OLAMS ni form za ku appeal mkopo ambapo wamepew miez 3 sawa na siku 90 bt wale wa dodoso ni mwez mmoja tu...
huu mchezo hauhitaji hasira...Shituka kijana..
 
Wamepotoshana sana mpaka kwenye magroup ya whatsApp... Nilishangaa sana hawa watoto.
 
Back
Top Bottom