Diploma ya udom ya Education technology

Diploma ya udom ya Education technology

man jile

Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
71
Reaction score
4
za asubuhi ndugu Zanguni mimi nilikuwa naomba mwenye uelewa anifahamishe juu ya koz ya diploma hiyo ya education technology je, mtu akisoma anakuwa mwalim ???? au anakuwa nani?????

maana kunda ndugu yangu kapangwa hapo na anashindwa kwenda maana wanachagua waliomaliza kidato cha sita
 
Back
Top Bottom