papakitope
Member
- Oct 31, 2016
- 17
- 3
Habari wana jukwaa.
Wakuu naomba msaad kama mtu anafahamu taratibu za kufuata baada ya kupoteza academic certificate ya form four na inahitajika original kwenye registration chuon first year
Msaada tafadhali
Usitumie lugha chafu