Hivi kuna haja ya kuwa na TAHLISO?

Hivi kuna haja ya kuwa na TAHLISO?

Puma yetu

Senior Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
111
Reaction score
126
Wanafunzi wenye diploma hawatopata mikopo, wenye umri zaidi ya miaka 30 hawatapata, waliosoma shule binafsi hawatapata mikopo, watahiniwa binafsi hawatapata mikopo na mbaya zaidi hata wale waliokuepo chuoni tokea zamani kwa vigezo hivyo wameambiwa hawatapata! Sasa ninyi mnakalia nafasi hizo kwa ajili ya kina nani?Mnamtetea nani?Mnajisikiaje?

Hebu basi mngeondoka ili wenzenu wajue moja kua hawana viongozi, mmekua waoga mnaogopa kuhoji kulikoni wenzenu wanaumia mmekalia viti hakuna jitihada zozote.

Hivi hamjiulizi kua hawa wanaoendekea na masomo kwa sasa walijaza mikataba ya mikopo? Kukatisha mkataba wa mtu ni kosa kisheria ninyi mmewashauri nini wenzenu?
 
Umenena vyema.
Nijuavyo mimi,kwenye sheria,kama bodi itavunja mkataba kati yake na wanufaika basi hizo pesa itakuwa ni hasara maana mkataba ulikuwa ni wa miaka mitatu,hivyo bodi ya mikopo haitakuwa na haki kisheria kuwadai.
Wanasheria mlioko humu tunaomba majibu kwa hili jambo.
 
Mkiambiwa kikwete likuwa rais wa ukweli mnabisha! Hamna namna Acha tu tuisome namba
 
8f7caaedb8604c9c99c0837df92498e5.jpg
 
Back
Top Bottom