Tuition fee ya engeneering UDSM kiasi gani?

HansMaja

Senior Member
Nov 9, 2010
102
114
Dogo kachuguliwa Chuo cha Uhandisi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam lakini amekosa mkopo. Hivi ada ya UDSM kwa upande wa Engineering ni kiasi gani kwa sasa?
 
Tuition fee ndogo na inalipika tatizo atakulaje, atavaaje, stationary inakuaje, akienda field ataishije..... Ingekua n ada tu afadhali
 
Ada 150000.

Ada ya mtihani 120000 kwa mwaka.

Hela yakula(meal and accomodation) 2140000

Ela ya field 620000

Book and stationary 200000

Special faculty 380000(kwa first year)

Hostel 25000 per month, akikaa chumba cha peke ake 80000 per month.

Ukilipa yote hayo atasoma sawa na mtu mwenye mkopo.
 
Ada laki na nusu chuo gani?
 
Back
Top Bottom