Bodi ya mikopo yaanza kuachia majina ya waombaji wa mikopo wenye uhiitaji maalum.

Beautifulgirl

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
300
265
Bodi ya mokopo ya elimu ya juu imeanza kutoa mikopo kwa waombaji wenye uhiitaji maalum. Hii itajumuisha mayatima wenye kutoka familia duni ppamoja na wenye ulemavu. Kama haupo kwenye category hiyo usijisumbue kumaliza bando lako.
 
Wenye uhitaaji ni mayatima na walemavu tu? Vipi wenye kozi za kipaumbele
 
Wenye uhitaaji ni mayatima na walemavu tu? Vipi wenye kozi za kipaumbele
Haya mambo ya kipaumbele sikuizi hayapo wewe kama sio mlemavu wala yatima waambie wazazi wako wakutafutie hela.Enzi za ujamaa zishaisha kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake....
 
Hakuna haja ya kulalama tulishajitambua tangu mwaka jana kwenye motto ya wale wagombea. Ya UKAWA ilisema elimu mpaka chuo kikuu ni bure na ya CCM ilisema elimu mpaka darasa la saba ni bure.
Na nikiangalia tulimchagua Rais wetu mpendwa kwa kura nyingi za NDIOOOO kwa sababu motto yake tuliielewa na nimpongeze Rais wetu kwa kusimamia yale aliyoahidi.
Kwani tumeshaona shule za msingi elimu ni bure, madawati yametengenezwa ya kutosha. Hili la mikopo kwa wote hakusimamia hilo jamani tusiichoshe serikali yetu hakuna namna.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom