Kuna aina ngapi za mvua?

Kuna aina ngapi za mvua?

mzee wa chabo

Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
64
Reaction score
65
Naomba mnisaidie kujibu swali husika;

(a) Mvua za masika, mvua za vuli, mvua za upepo.
(b) Mvua za myuko, mvua za milimani, mvua za mseto.
(c) Mvua za hapa na pale, mvua za mjini, mvua za mawe.
 
Huenda b likawa jawabu mubashara na mujarabu.

Mimi najua kwa kisungu

1.Convectional rains

2.Orographic Rains

Cyclonic Rains

Sasa kwa kiswahili sijui tafasiri yake.
 
Back
Top Bottom