Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu poleni kwa majukumu yakila siku iko hivi mwaka Jana nilikua na plan zakufungua biashara lakini kutokana na changamoto za hapa na pale nilishindwa, lkn Mungu mwema nimejitahidi mwaka huu...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
hi JF members, if you like looking good in nice unique sunglasses please visit and follow our page bv90_sunglasses on instagram for killer shades. perfect to wear even at night, nice frame...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
kitendo cha serikali kushikilia pesa zote na kugawa kidogo kidogo kulingana na maombi ya taasisi zake na pesa inayoombwa sio kwamba hizi taasisi zinapewa kiasi hicho , hupewa kidogo na kuambiwa...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Afya kwa ujumla wake inahitaji jicho la karibu na kupewa Kipaumbele. Miundo mbinu ya tiba na dawa inahitajika kupewa kipaumbele. Badala ya kupeleka wagonjwa nje tuwe na mkakati wa miaka mitano...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Nimefuatilia sana wafanyabiashara wadogo wadogo (Magenge ya Matunda, unga, n.k.) wengi wao hulamba vidole kwa Mate yao na kuufungua mfuko wa plastiki. Inatia kinyaa na kusababishiana maambukizi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina uwezo wa kufanya investments 80 mil.shillings kwa ushirika naomba mwenye kujua mradi unaofaa. Iwe Dar au mkoani
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana nilinunua kifurushi cha internet cha shilingi 500 kupitia mtandao wa Vodacom nikapewa mb 130. Leo tarehe 24, Januari nimenunua kifurushi cha internet kwa shilingi 500 nikapata mb 70...
1 Reactions
4 Replies
982 Views
KUNA UKWELI GANI KUHUSU MAELEZO HAYA:- Hio link inakupatia dola endapo utadawnlod na ukidownlod unapata link yako unamtumia mwingine unazidi kupata dola halafu mwisho wa mwezi utaelekezwa sehemu...
0 Reactions
7 Replies
945 Views
Ninauza Asali mbichi ya nyuki wadogo kutoka kigoma, nusu Lita tsh.15,000 iko packed , ni nzuri ma inatumika kama dawa,chakula na ubora Wa mwili,, karibuni , napatikana dar as salam Morocco au...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Wakuu.mm ni driver Na pia ni mjasiriamali naanda kampuni yangu ya food processing soon itakuwa released naomba kuunga mkono juhudi za vijana wa Tanzania ili nchi ya viwanda iweze kusaidia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, Naomba niweke mezani hili jambo tuweze kisaidiana Kwa mawazo. Nadhani wote mnafahamu hii Biashara ambayo watu hufanya mjini katika mikoa tunayoishi, Biashara ya kuuza...
1 Reactions
3 Replies
11K Views
Wadau ninaswali kidogo baadhi ya pesa ninazopokea ofisini kwangu wateja wanazichana kwenye kona kwa makusudi, ni kwanini? Msaada wa mawazo
1 Reactions
20 Replies
7K Views
kuna Vodacom, Airtel, Tigo, NBC Bank N.K. Hivi ni kwamba hayana vigezo au ni siasa nyuma ya pazia?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Askofu Mkuu wa Diosisi ya Mashariki na Pwani wa kanisa la KKKT Dkt Alex Malasusa Amewaasa wafanyabiashara na watanzania kwa ujumla kujifunza njia sahihi ya kuhifadhi akiba kwenye mabenki ili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salaam, Mimi ni msichana mwenye miaka 25, nina elimu ya diploma nipo Dar es Salaam. Nimeamua kijiajiri kwa kuanzisha biashara ya matunda mchanganyiko na kupeleka maofisini. Nimelileta kwenu...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Ni kweli maprofesa wengi hawataki utajiri? Binafsi nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu sana. Kwani nakumbuka nikiwa mdogo mama aliniambia ukitaka maisha mazuri fanya bidii katika...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Nataka kufanya biashara naomba msaada wenu kimawazo Na jinsi ya upatikanaji wa maziwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je, umekuwa mwoga wa kujiajiri? Je, wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kujiajiri sharti uwe na mtaji fedha tena mtaji mkubwa? Je, unajua mtaji mkubwa tayari unao? Mimi sikuhiaji mtaji fedha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD moved upwards by about 100 pips last week, now testing the resistance...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…