Afya ya Watanzania

Ndeng'anyiso

Member
Nov 1, 2010
13
5
Afya kwa ujumla wake inahitaji jicho la karibu na kupewa Kipaumbele. Miundo mbinu ya tiba na dawa inahitajika kupewa kipaumbele. Badala ya kupeleka wagonjwa nje tuwe na mkakati wa miaka mitano kujitosheleza kwa Wataalamu, miundo mbinu na dawa. Katika miaka hiyo hiyo tutatue kabisa tatizo la upatikanaji wa chakula, maji safi na salama Kitaifa, hii miradi midogo midogo ya maji iliyopo iwe inasaidia tu lakini kitaifa tuwe na angalau 98% ya watu wawe wanahudumiwa na serikali. Hawa raia wenye afya tuwatafutie ndege, reli, barabara na viwanda wazalishe na kusafirisha bidhaa zao.
 
Back
Top Bottom