Habari zenu wana jamvi, Naomba niweke mezani hili jambo tuweze kisaidiana Kwa mawazo.
Nadhani wote mnafahamu hii Biashara ambayo watu hufanya mjini katika mikoa tunayoishi, Biashara ya kuuza movies ,series na nyimbo tofauti tofauti... Kwa wanao ifahamu Kwa undani, ukitaka kuianzisha unahitaji kuwa na vitu gani haswa, na bajeti yake ni kiasi gani ikiwa ni pamoja na kuisajili Kama Biashara nyingine?
Changamoto zake ni zipi?
Na je, Ina faida Kwa kiasi gani?
Kuna vitu gani vya ziada vinahitajika ili iwe bora zaidi na kuvutia watu wengi zaidi.