Inflation iliyopo sasa Tanzania

Tecno_one

Member
Sep 14, 2016
34
16
Wakuu poleni kwa majukumu yakila siku iko hivi mwaka Jana nilikua na plan zakufungua biashara lakini kutokana na changamoto za hapa na pale nilishindwa, lkn Mungu mwema nimejitahidi mwaka huu naona kamtaji kangu kametimia lakini wasiwasi wangu ni juu ya huu mfumko wa bei uliopo hapa nchini kwa sasa, Je utaruhusu biashara kusimama au Kufanikiwa?
Ushauri please! Nawasilisha
 
Back
Top Bottom