meaganita
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 439
- 642
Salaam,
Mimi ni msichana mwenye miaka 25, nina elimu ya diploma nipo Dar es Salaam. Nimeamua kijiajiri kwa kuanzisha biashara ya matunda mchanganyiko na kupeleka maofisini.
Nimelileta kwenu wadau wazo langu ili mnipe ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara hii. Na wapi naweza kupata vifungashio kwa bei nzuri kwani mtaji wangu ni laki moja.
NATANGULIZA SHUKRANI