MD Necha
Member
- Jan 19, 2017
- 6
- 3
Wakuu.mm ni driver Na pia ni mjasiriamali naanda kampuni yangu ya food processing soon itakuwa released naomba kuunga mkono juhudi za vijana wa Tanzania ili nchi ya viwanda iweze kusaidia maendeleo ya taifa letu
Tayar nina mashine ya kusaga nafaka, peanut butter, juicer bado taratibu za usajili wa kampuni pamoja na kupanga management nzima naomba msaada juu ya mabenk, saccos ambazo zinatoa mikopo kwa riba nafuu