Natafuta mradi wa kufanya

mdiwani

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
236
186
Nina uwezo wa kufanya investments 80 mil.shillings kwa ushirika naomba mwenye kujua mradi unaofaa.

Iwe Dar au mkoani
 
Nina uwezo wa kufanya investments 80 mil.shillings kwa ushirika naomba mwenye kujua mradi unaofaa.

Iwe Dar au mkoani

fanya biashara yenye uhakika, changamoto chache lkn pia soko lake halisumbui sana. fanya biashara ya kununua na kunenepesha ng'ombe na kuwauza kila baada ya miez mitatu. wanakua wameongezeka kat ya kilo 70 mpaka 90 na kua na best meat ndo hizo nyama zinazouzwa kwenye supamaket na kwa watalii.
 
Kuwa makini mkuu tulia fanya tafiti ni investment gani ufanye usipokuwa makini utakutana na matapeli watakufyokoa mpunga wote utabaki unalia, ni hayo tu
 
Back
Top Bottom