Serikali kushikilia pesa za taasisi zote ni kukwamisha utendaji

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
892
1,709
kitendo cha serikali kushikilia pesa zote na kugawa kidogo kidogo kulingana na maombi ya taasisi zake na pesa inayoombwa sio kwamba hizi taasisi zinapewa kiasi hicho , hupewa kidogo na kuambiwa iendelee na utendaji kwani pesa hazitoshi,mfano kuna pesa zimeshikiliwa na BOT ambazo hupewa wizara ya fedha ili kugawa kiduchu kiduchu kwa taasisi na pesa hii sasa mbaya zaidi huchelewa na kusababisha mambo mengi sana uraiani kukwama,mfano unakuta taasisi ina matangazzo flani flani kituo cha televisheni na inatakiwa kulipa,na pesa inayolipwa ni mpaka iombwe huko MOF au BOT na wale mpaka waidhinishge ile pesa ni mwezi au miezi na unakuta ni pesa mabayo pia kituo hichi cha televisheni inazitegemea ili kijiendeshe , yaani hii hali inafanya mambo kua magumu sana ndugu zangu wapo mnaofurahia lakini wakati unafurahia kumbuka kuna ndugu yako ana suffer kama si direct basi indirect ananyooshwa.......kama wapiga deal wanafahamika bwana na wanakopitishia wanafahamika sasa haka kakundi kadogo kweli ndio kanaponza watu kiasi hiki ? Wachumi jaribuni kumshauri jamaa yenu ama ndio anafanya sahihi uchumi wetu utakua ? Mi binafsi sikubaliani na huu mfumo na ndio maana unampa kiburi kutoa tender kwa auncle wake huko Chato na kumlipa anavyojisikia......
 
Back
Top Bottom