Kujiajiri ni uamuzi, mtaji unafuata

Amon Chakushemeire

New Member
Jan 23, 2017
2
0
Je, umekuwa mwoga wa kujiajiri? Je, wewe ni miongoni mwa watu wanaodhani kujiajiri sharti uwe na mtaji fedha tena mtaji mkubwa? Je, unajua mtaji mkubwa tayari unao?

Mimi sikuhiaji mtaji fedha kuanza biashara, nilichohitaji ni uamzi na uthubutu kisha mtaji niliutafuta ukapatikana maana nia ikishakuwa thabiti njia sharti ipatikane.

Adui mkubwa wa mafanikio ya mtu ni mtu mwenyewe! Tupilia mbali hofu, wasiliana nami kwa namba 0688783293 kwa ushauri zaidi.

[HASHTAG]#Kujiajiri[/HASHTAG] inawezekana!
15672759_1880561892173515_6153829439220499092_n.jpg
 
Umenifurahisha na mada yako kwel nimefurah.nitafuata nyazo zako tangulia nipo nyuma yako.hakuna kitu nachokipenda kama kujiajil.mungu anitangulie kwa hilo.mi naamin kuajiliwa ni utumwa
 
Ni kweli attitude ni kila kitu, kama hauko tayari au haujaamua na wala hauna msukumo wa kufanya jambo, hauwezi kulitekeleza kikamilifu.

Mfano hata kama ukipewa mtaji kama wewe binafsi haupo tayari au hauna msukumo wa kufanya kitu nje ya ajira, hauwezi kufanya chochote.
 
Weka hapa ushuhuda wako ulipoanzia na ulikopitia mpka ukafika hapo ulipo na ni level gan ya mafanikio ulionayo kwa sasa sio kublah blah na kuweka contact
 
Back
Top Bottom