Ni kweli hiyo link inakupatia dola endapo utadownlod?

Halidi Haji

Member
Jan 20, 2017
53
18
KUNA UKWELI GANI KUHUSU MAELEZO HAYA:-

Hio link inakupatia dola endapo utadawnlod na ukidownlod unapata link yako unamtumia mwingine unazidi kupata dola halafu mwisho wa mwezi utaelekezwa sehemu ya kupata hela yako jisajili kwa kuingia kwenye hii link halafu utaona sehemu imeandikwa register (jisajili) utaandika jina lako password namba yako ya simu na mwisho email.

Mfano:-

jumasalimu@gmail. com utakuwa umejisajili utapata dola 25 na link yako halafu utatumia mwingine akijiunga na wewe unazidi kuongzewa dola.
 
Tupia hiyo link tupate hayo madola kabla ya njaa haijawa Kali tukajinunulie mahindi na Michele ya kutosha
 
Back
Top Bottom