Nimefuatilia sana wafanyabiashara wadogo wadogo (Magenge ya Matunda, unga, n.k.) wengi wao hulamba vidole kwa Mate yao na kuufungua mfuko wa plastiki.
Inatia kinyaa na kusababishiana maambukizi ya Magonjwa kama Kifua kikuu (T.B.), Kikohozi n.k.
Binafsi huwa namweleza hapo hapo, siyo wote tunaweza kufanya manunuzi Supermarket (Shopping Mall) lakini kwa maudhi haya itakubidi tu.
Je, wewe unafanyaje kuwaelimisha Wajasiriamali hawa?