Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Haya wale nduguzangu wa tanga... Kuanzia jana mjini Tanga kuna supermarket mpya imefunguliwa inaitwa Mkwabi. NASACO Building, Independence Avenue M excited sababu bwana mambo ya kwetu maduka...
3 Reactions
25 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu wa jukwaa hili, Naomba kuelimishwa juu ya Biashara ya kimataifa kama ifutavyo: 1.Soko la dunia ninini? 2.Nawezaje kuuza bidhaa yangu nje ya nchi mfano:nataka kuuza Dengu India...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kutokana na mwendelezo unaofanywa na hii mitandao ya simu nakusudia kuishtak kampuni ya tigo kitengo cha tigopesa kwa kutonirudishia hela yangu niliyokosea kutuma yapata miezi miwili iliyopita...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Ikiwa mtu ni mwajiriwa serikalini ambaye anatoka kazini saa tisa na nusu jioni lakini pia mtu huyo ni fundi bomba wa kujitegemea. Je, mtu huyo anaweza akatumia mbinu zipi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijawahi fanya biashara ya kuvuka boda, sasa nataka nisafirishe mazao yangu nijaribu na soko la Kenya kama naweza kupata angalau faida maana huko Dar madalali hawana huruma na mtaji wangu. Mwenye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau, Mimi nina plan ya kufanya biashara ya simu kutoka China lakini sijui ushuru ni kiasi gani pale Airport. Naomba anaejua anifahamishe.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania kuna utitiri wa mabenki. Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi? Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm
0 Reactions
72 Replies
13K Views
Habari za jioni ndugu Katika gazeti la mwananchi wameripoti kuwa kumetokea kupanda kwa bei unga wa sembe kutoka 700 mpaka 2200 kwa kilo moja. Hali inayopelekea kutokea ugumu wa kula ugali na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa eenue uelewa, naomba kufahamu gharama fursa na changamoto za biasha ra ya gesti ya level ya kati. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu! Naomba kwa mwenye ufahamu na maswala ya biashara, je kwa mtaji wa laki saba naweza kuanzisha biashara gani? Ambayo itakuwa na mzunguko mzuri, Naombeni ushauri wenu...
1 Reactions
6 Replies
47K Views
Kijana tambua kuna kushiriki na kushirikishwa Je katika utaratibu wako wa maisha yako ya kila siku ukigawa mawazo na utendaji wako katika % wewe ni mshikriki au mshikishwaji....? katika muktadha...
1 Reactions
0 Replies
970 Views
Habar wakuu? nafanya biashara ya samaki aina ya sato na sangara toka mwanza.. target ni kuongeza soko kwa kuuza samaki nje ya mwanza.. kwa wale mlio nje ya mwanza fursa hii tufanye kazi kama kweli...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar ya week-end wanajf, Kuna siku nilipita mtandaoni, nikakutana na habar ya kuanzishwa Kwa shindano la ujasiria Mali vyuon, naomba mwenye taarifa kamili anipe ufafanuzi tafadhar
1 Reactions
0 Replies
971 Views
Ningependa kujua namna yakuwezesha till no. Yangu (namba yangu ya uwakala) na huduma yakuuza vocha na vifurushi maarufu kama VODAFASTA inawezekana?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzanian capital Dar es Salaam’s real estate has been ranked ahead of Nairobi and Addis Ababa in the World Bank’s latest cities report, which cites land fragmentation and weak property rights as...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums. Nikiangalia kwenye map wanasema Dar kuna shop ya kampini inayouza drones, DJI. Mwenye taarifa zozote anisaidie please.
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Napenda kujua, Kampuni ya Soya inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa za plastik inapatikana wapi kwa hapa Dar es Salaam?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI ✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
5 Reactions
14 Replies
9K Views
Ninapapenda sana Kampala. Nataman kujua watu wa pale wanahitaji nini kutoka Tanzania ili niifanye biashara hyo. Msaada please!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…