Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

namba kuuliza bei za mchele sokon hapa dar maana nataka ni kama tani 2 na madalali mtawapataje
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kumiliki bajaji Kumiliki pikipiki (boda boda) Kuanzisha blogu Kuanzisha gazeti la uchunguzi tu pekee Kuanzisha huduma ya chakula mama lishe Kumiliki daladala Kumiliki vikirikuu vya kubeba mizigo...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habarini wandugu, Kwanza kiabisa nawapa pole kwa kuendelea kuisoma namba. Pili nataka kidogo nipitie hizi hisa\offering za Voda ambazo saizi ndo hot issue kn Tanzania investment. Hisa za voda kama...
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Wiki hii Mhe Magufuli amezindua mradi mkubwa wa ujenzi wa treni Dar- Moro, ambapo inasemekana 100% ya fedha zote zitakazotumika ni za ndani. Mradi huu utatumia takribani trilioni 2.7 (chanzo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mchana wakuu..kuna kipande cha eneo tunataka kuuza kiko maeneo ya mbezi luis njia ya kuelekea goba ila tunataka kujua thaman ya eneo kwa mfano 20 kwa 30..
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimeona ni kwepe usumbufu anaejua nauli ya Moro to Njombe anipe taarifa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KUJINASUA KIUCHUMI ILI KUJIONGEZEA MAPATO KWA KUTUMIA FURSA MBALIMBALI , JE MATAJIRI WANANUNUA NINI WANAPOPATA PESA? Vikorokoro vinaweza kukuongezea kipato Dhima (liabilities) ni njia nzuri ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
OCT042013 Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa. 1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion) 2. Mwanza(GDP-4.09 trilion) 3...
1 Reactions
91 Replies
119K Views
TRA njoni kariakoo mjionee wenyewe namna wafanyabiashara wanavyokuwa wasumbufu kutoa risiti kwa wateja wao. Unanunua bidhaa za 1 milioni wanatoa risiti ya ya laki mbili. Ukikomaa kudai risiti...
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Mimi nina swali, kwanini TRA lazima uwalipe kodi kabla ujaanza biashara? wanajuaje utapata faida kiasi gani ndani ya mwaka?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nipo na kamtaji kama ml 2 hivi nataka kuanzisha play station hapa town napoishi...kwa wenye uzoefu haka kabiashara kapoje wakuu upande Wa maslahi yake na changamoto zake...Asanteni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu tumeona post nyingi zikiwahamasisha wafanya biashara wadogo na wakati kwenda nchi ya Thailand kufanya manunuzi ya badhaa zao. Wengi walijitokeza kuchangia na pia waliahidi soon watakwenda...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Nimekua nikisikia Mara kwa mara viongozi na hata watu wenyedhamana katika asasi kubwa za kiselikari na,w zisizo za kiselikali zikishauri kuwa vijana Tuunde vikundi ili tuweze kupata msaada wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Naombeni mnifahamishe kuhusu kozi za majengo na kodi ya ardhi(land tax) Mfano: Mtu una nusu heka na kanyumba labda ka thamani ya 30 million na upo kwenye eleo la makazi ya watu...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Tembelea website yangu kusoma mengi www.telona.cf Biashara ndio chombo kikuu cha maendeleo duniani kote.Watu wengi wanalalamika kuhusu kutofanikiwa katika nyanja za biashara.Biashara ni elimu...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD consolidated from Monday to Friday, save a faint rally that was witnessed on Wednesday. The bearish bias on the...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Kufuga ndege hawa kunahitaji kibali? Iwe kwa matumizi binafsi au biashara. Kama lazima nipate kibali, ninakiomba wapi?
0 Reactions
7 Replies
19K Views
Shirika la Ndege Tanzania ‘ATCL’ kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu, Ladislaus Matindi amesema kuwa wamekusanya kiasi cha Sh. BILIONI 9 kwa kipindi cha miezi minne tangu ndege mbili za Bombardier Q400...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari ndugu wana JF Mimi kutokana na maisha kuwa magumu nafikiria kuacha chuo ili nijihusishe na uzalishaji Mali. Nazungumza haya kutokana na kauli ama ushauri wa POLEPOLE kwa wanachuo waliokosa...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Habari, Ninaomba msaada wa kujua gharama za na aina nzuri ya mashine za kuamua alizeti. Aidha naombwa kufahamishwa gharama za uendeshaji zikoje ?. Nimeona fursa hii nataka kujikita katika...
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…