Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 334
Biashara ndio chombo kikuu cha maendeleo duniani kote.Watu wengi wanalalamika kuhusu kutofanikiwa katika nyanja za biashara.Biashara ni elimu ambayo unahitaji kuisoma popote pale,
wala biashara haitaki fomula kama sayansi ila inataka Real Life Education (R.L.E).Yaani inahitaji elimu ya kusoma maisha.
Kabla hujaanza kutaka fanya biashara unatakiwa ufikirie ni biashara gani utaifanya.Jee ni bidhaa ambayo utauza au ni huduma ambayo utatoa kwa watu?Hapa ni sehemu ya kutafakari sana ni aina gani ya biashara utaanzisha.
2.TAFAKARI
Baada ya kushaamua nitafanya biashara fulani, hutakiwi kukurupuka tu ila unatakiwa kufikiria jee hiyo biashara unayotaka kuanza watu wataipokea vipi,kama wakiipokea vizuri ni sawa, ila jee wakiipokea vibaya utafanya nini ili watu wakuelewe mpaka waje katika biashara, pili jee hiyo biashara unayotaka kuanza itakupatia faida au unafanya tu kwasababu ya upendo wa moyo.
3.MTAJI NA MAAMUZI
Sasa ni muda wa kufikiria ni jinsi gani utapata mtaji kwa ajili ya kuanzisha biashara yako.Kama huna inabidi utumie juhudi za kutafuta huo mtaji au kama una sehemu ya kukopa unaweza kukopa kwa ajili ya kuendesha biashara yako.
4.BUDGET
Watu wengi sana wanafeli hapa , unaweza kumuona mtu ana mtaji wa milioni 15 basi anazitoa zote bila ya kukumbuka ya kwamba huenda nikafeli, sasa jee nitapofeli hakiba ya kuanza tena iko wapi.Na pia vile vile bajeti katika matumizi yako kama huna mtaji , ili kutengeneza mtaji inabidi ujizuie na mambo mengi sana ili kukamilisha ndoto zako.
5.SURVEY
Unatakiwa ufanye uchunguzi sana wa unachoenda kukifanya usikurupike unaweza ukaichukia biashara, kumbe biashara haina tatizo ila ni wewe ndio mwenye matatizo.
6.MARKET
Baada ya kulaunch biashara yako una kazi nyengine ya kutafuta soko katika biashara kuna ushindani mkubwa ni lazima kuelewa hivyo unatakiwa kutumia akili sana kabla ya kutafuta soko ili kushinda sehemu kubwa ya washindani wako.Unaweza kuwa na bidhaa mzuri sana lakini usifike popte kama watu hawatoijuwa bidhaa hiyo,utabakia kusema nilifanya.
7.MISTAKE
Makosa ni jambo la kawaida sana, mimi hupenda kuyaita mwalim wa maisha.Kama itakuwa ni mwenye kukimbia makosa basi kila siku itakuwa kazi yako ni kuacha biashara hii kuchapia nyengine bila ya mafanikio yeyote, kwasababu hutaki kujifunza yaliyopita nyuma.Mfano: Umefungua biashara ukafeli usiwe na woga unatakiwa kuangalia nini kilichonifanya nifeli na utafute ufumbuzi wake kwanini,Watu wengi waliofanikiwa wamekubali chalengi ndio wakashinda.
8.USIKATE TAMAA
Yote kwa yote nakuacha na hii usikate tamaa jifunze kutokana makosa ili kupambana na chalengi ,matatizo ni kawaida usiogope kujaribu.
Tembelea tovuti yangu kusoma post nyengine kali: www.telona.cf
wala biashara haitaki fomula kama sayansi ila inataka Real Life Education (R.L.E).Yaani inahitaji elimu ya kusoma maisha.
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HUJAANZA BIASHARA
1.KUCHAGUA BIDHAAKabla hujaanza kutaka fanya biashara unatakiwa ufikirie ni biashara gani utaifanya.Jee ni bidhaa ambayo utauza au ni huduma ambayo utatoa kwa watu?Hapa ni sehemu ya kutafakari sana ni aina gani ya biashara utaanzisha.