Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku..... Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license... Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu katika ujasiriamali katika jambo lolote lile ambalo tunafikilia kulifanya kuna watu walishalifanya na wakafanikiwa. Najua tunapenda ujasiriamali lakini chagua kwa watu...
2 Reactions
3 Replies
951 Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold trended smoothly upwards last month, reaching a low of 1251.28 and a high of 1325.75. On September 1, price made some bullish attempt, closing at...
0 Reactions
5 Replies
997 Views
Wakuu habari. Huku nikiwa nalia na mbaazi ndani , bado naangalia soya inavoozea ndani, na bado naangalia mahindi bei ilivo chini ambapo ukiuza gunia mbili ndio unapata mfuko mmoja wa mbolea naomba...
11 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari za Leo wana Jamii, Natumaini waote ni wazima wa afya Leo ni maada (wazo) fupi la kuchangia kuhusiana na kichwa cha habari hapo. Principal Licence ilitangazwa miaka mili iliyopita ikiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajukwaa kama kichwa kinavyojieleza nataka kununua Hisa za Crdb na kuziuza ili nipate faida kidogo kidogo kutokana na kautafiti kangu nilichokafanya kwa mfano juzi niliangalia Hisa moja ilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wadau mpo powa! Hivi karibuni kumeibuka biashara nyingi sana za mitandaoni ambazo zimekuwa zikivutia sana kwa kujinadi kwao. Mfano wa biashara hizo ni D9, Amazon traders, Elnet Africa, Helping...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
by Jenny I have had a couple of emails lately from parents, containing attitudes which I found a little worrying. We support the teaching of business skills to kids, and we encourage parents to...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
AUS200 Dominant bias: Neutral In the last few months, AUS200 has been in a neutral phase. The market is quite choppy, rough and unattractive, oscillating upwards and downwards with no...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Nawasalimia wana JF. Nitakuwa nawaletea miradi nchini inayofanyika na inayotarajiwa kufanyika ndani ya miaka 10 iliyobaki. Nitakuwa naweka picha na video ili kuonesha design yake au namna...
4 Reactions
22 Replies
9K Views
Wakuu, Kati ya standard bank na standard chartered bank Hizi ni bank mbili tofauti au ni moja?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Leseni ya Mwendelezaji Hii inatolewa kwa mwekezaji anayetaka kuwekeza katika miundo mbinu kama vile ujenzi wa majengo ya viwanda na maghala, ujenzi wa barabra za ndani, usawazishaji mazingira na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu yangu wakati ukiwa unatekeleza mipango yako zipo changamoto zitakazokupitia na kukufanya hujihisi huna nguvu tena ya kuendelea. Kama wewe unaesoma ujumbe huu umekumbwa na jambo kama hili...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wameshaanza kutumia huduma hii naomba mtujuze tafadhali,ni kiasi gani unapaswa kuweka akiba ili ustahili kupata mkopo? Na mengine ambayo ni muhimu kujua kuhusu huduma hii...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Hi People Nahitaji msaada kujua kama unataka kufanya biashara na USA kupitia AGOA unafanyafanyaje?? Nasikia soko liko waziwazi huko America, tunasububiriwa siye tu tupeleke bidhaa. Msaada tafadhali
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu Wanajamvi,, Poleni na majukumu. Historia: Mimi ni kijana umri 25. Nilimaliza kidato cha 4 mwaka 2010. Nikafaulu na kuchaguliwa kujiunga form 5 (2011) Azania boys. Comb: PCB. Mlezi...
1 Reactions
96 Replies
16K Views
Niliwahi kuleta Mara Mbili humu Janvini swala la watu kuunganisha Mitaji, hakuna aliye jari, watu wanataka kila mmoja aonekane kwamba anaweza, kila mtu anataka aonekane kwa Ndugu, jamaa, marafiki...
14 Reactions
74 Replies
8K Views
Kwanza kabisa hongera benki ya CRDB BANK kwa huduma mnayotupatia. Pili tunaomba uongozi wa benki kuwabadilisha wafanyakazi wa branch moja kwenda kwingine( kuhamisha wafanyakazi) hili...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni vigumu sana watu kukuelewa wakati una tekeleza maono yako. ni vigumu sana tena mno.Watakuja kukuelewa baada sana. Ndo maana mtu akija hata na wazo la kufuga panya ni vigumu kueleweka. Watu...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika ulimwengu wa biashara kuna vitu viwili ambavyo vinafanana ila si kitu kimoja.....navyo ni HATI MILIKI na HAKI MILIKI. Kwa haraka haraka tu, HATI MILIKI hudili na umiliki rasmi wa uvumbuzi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom