Biashara ya badilisha/kuuza fedha mipakani(border)

VeroEretico

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
509
395
Wadau,

Mimi napenda kufahamishwa kuhusu hii biashara ya kucharge fedha mpani yaani kuuza fedha kwa watu wanaoingia border ya nchi nyingine kama Tanzania na Uganda.

Ni nini faida na changamoto hii biashara, ni kiasi gani cha mtaji unaohitajika ili kukupa faida nzuri kuanzisha hii biashara.

Nahitaji mawazo yenu wadau
 
  • Thanks
Reactions: 454
Biashara ya kuuza/kubadisha fedha mipakani mwa nchi moja na nyingine( boder), hufanywa kwa kuuza hella za nchi moja kwa wasafiri wanaoingia nchi nyingine(ya upande wa pili) yaani boder ya nchi jirani.
Wadau napenda kufahamishwa ya fuatayo.
1.faida na changamoto za hii biashara,
2.mtaji kiasi gani unahitajika kwa faida nzuri
3. Boder gani inalipa kwa biashara hii kati ya Boder ya Sirari na boder ya Mtukula
 
Back
Top Bottom