Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji...

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
1,293
583
Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji, na wengineo wote wataoina fursa hii, katika uwekezaji wa kati ambao unatarajiwa kuwa mkubwa sana kwa kipindi kifupi sana.

Yeyote katika hao ambae ana uwezo wa kuwekeza Shillingi millioni kumi au zaidi anakaribishwa katika uanzishwaji wa biashara mpya kabisa Tanzania.

Yeyote ataewekeza atakuwa ni mbia kwenye shirika (company) kubwa linalokusudiwa kuanzishwa na kuwa na matawi Tanzania nzima.

Kama ni mwanasheria na upo tayari kujiunga nasi basi kwanza kabisa unatakiwa uje na mkataba wa "Non disclosre agreement" ambao utatumika kwa wote watakaotaka maelezo zaidi.

Hatutaweza kuliweka wazi wazo hili kwa yeyote ambae hayupo tayari kujiunga nasi bila ya kusaini mikataba ya "non disclosure".

Hii ni fursa kwa wale walio "serious".

Tunakaribisha maswali...

Abdul
0625249605
 
"non disclosure agreement" at the same time huwezi kuweka wazi hapa, kama kuna watu watakutafuta nitakupa 10 millions.

Ndiyo, tungependa kwanza tusaini "non disclosure agreement" kabla hatujafunguka zaidi. Tumeshaelezea kuwa ni biashara itayohitaji wenye fani zote tulizozitaja hapo juu.

Tayari kuna walionipigia simu.

Karibu sana.
 
Kwa wale walionipigia simu na kuniuliza kuhusu "hizo millioni kumi zinatakiwa zote pamoja?".

Kama nilivyokwisha wajibu kwenye simu na ninaliweka hapa kwa ajili ya wengine watakaopenda kuelewa.

Si lazima kutoa zote pamoja, unaweza kuanza na millioni mbili na zingine ukatoa kila mwezi mpaka zitimie kumi wakati tayari kazi zimeshaanza.

Na wale walioniuliza kuhusu hizo fani zilizotajwa hapo juu wanakuwa ni wawekezaji tu au watendaji?

Hao watakuwa ni watendaji kila mmoja kwa fani na wakati huohuo watakuwa ni wawekezaji na wabia kwenye shirika.

Shirika litakapoanza kazi watalipwa kwa fani zao nje ya uwekezaji wao, ni kama kuajiri wanasheria lakini tunataka baadhi wawemo kwenye shirika kama wabia. Hivyo hivyo kwa fani zote.
 
Ungetoa ufafanuzi kidogo, hiyo kampuni itajikita kwenye nini maana naona karibia 55% ya fani zinahitajika. Ofisi kuu itakuwa wapi ili walio karibu muonane ana kwa ana kuliko kupiga simu maana utapeli mwingi sana siku hizi
 
Biashara itajikita kwenye masuala ya udhamini wa biashara mbalimbali. Baada ya kusaini "non disclosure agreements" tutafunguka zaidi.

Hizo 55% ni baadhi tu ya fani zitakazohitajika. Kwa ufupi fani zote zitahitajika lakini hizo nilizozitaja ni muhimu sana wawemo kwenye "executives" wa shirika.

Ofisi kuu itaamuliwa iwe wapi baada ya kupata wabia na kuanza kuandikisha shirika. Ni mategemeo yetu kuwa 90% za kazi zitafanywa popote ulipo kutumia teknolojia za kisasa za mawasiliano.

Abdul
 
Mimi naomba tukutane live ili tuongee

Karibu sana kwetu.

Kibaha, Misugusugu, Vitendo.

Ningependelea zaidi tukutane kuhusu hili baada ya sisi kupata mtendaji japo mmoja ambae ni mwanasheria.

Unaweza kututembelea na tukaongea kuhusu miradi mingine ambayo inaendelea kwa sasa na kujionea mwenyewe shughuli tunazofanya.

Karibu sana.

Namba zangu ni 0625249605.

Abdul
 
Ningeshangaa sana usiwepo kwenye hii Biashara ya shogako,
By the way ule mradi wenu na huyu mwenzio wa zile dawa za Kuondoa vipara zimekaa kama matope hivi uliishaga wapi??

Ile sio "kama matope" ni matope kabisa. Ule ni udongo 100% kwa jina la kitaalamu unaitwa Montmorillonite clay, ukiutia maji unakuwa "matope" kabisa. Lakini ni wa ajabu sana, sasa hivi upo kwenye maabara ya Muhimbili unafanyiwa utafiti wa kina, usome hapa: Therapeutic Benefits of Calcium Montmorillonite Clay

Soma wanazuoni duniani wanasemaje: montmorillonite clay ingredients - Google Scholar
 
Back
Top Bottom