Kukosea risiti ya EFD, utaratibu wa kusahihisha ukoje?

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,630
2,461
Nina ndugu yangu ana duka la rejareja kakosea risiti ya EFD badala ya 3,000 imetoka ya 3,000,000,000 (billioni 3!):D

Kwa anayejua utaratibu wa kusahihisha au kuripoti makosa naomba anisaidie maana kashapanick.
 
Andika barua address kwa commissioner for domestic revenue. Kisha weka details za ulichokosea na pia Ambatanisha nakala ya hiyo risiti. Nakala ziwe mbili za barua hiyo na zipeleke ofisi za TRA mkoa uliopo watapokea barua hizo. Watagonga muhuli barua hizi 2 , nakala moja (original watabaki nayo ), wewe utachukua nyingine.
 
Watu kama nyinyi mnanifanya niendelee kubaki humu jf.
Asante.
 
Andika barua address kwa commissioner for domestic revenue. Kisha weka details za ulichokosea na pia Ambatanisha nakala ya hiyo risiti. Nakala ziwe mbili za barua hiyo na zipeleke ofisi za TRA mkoa uliopo watapokea barua hizo. Watagonga muhuli barua hizi 2 , nakala moja (original watabaki nayo ), wewe utachukua nyingine.
Unaweza nunua efd machine apa Dar es salaam Tanzania ukaenda ukaitumia nje ya Dar-es-salaam kama Dodoma
 
Nina ndugu yangu ana duka la rejareja kakosea risiti ya EFD badala ya 3,000 imetoka ya 3,000,000,000 (billioni 3!):D

Kwa anayejua utaratibu wa kusahihisha au kuripoti makosa naomba anisaidie maana kashapanick.
Hii ilishatutokeaga mkuu...yani dogo aliandika risiti ya 44000000/= baada ya kuuza sim!!

Ila hapo wahi ofisi za tra mapema sana ukiwa na hiyo risiti mkononi!! Uwe mpole maana hawa watu hawakawii kukupanikisha!!
 
Andika barua address kwa commissioner for domestic revenue. Kisha weka details za ulichokosea na pia Ambatanisha nakala ya hiyo risiti. Nakala ziwe mbili za barua hiyo na zipeleke ofisi za TRA mkoa uliopo watapokea barua hizo. Watagonga muhuli barua hizi 2 , nakala moja (original watabaki nayo ), wewe utachukua nyingine.
Asante tutafanya hivyo.
 
Mimi nilikuwa na pikipiki ambayo ilikuja kuharibika nikatoa baadhi ya sehemu nikauza, sasa TRA wananidai kodi ya pikipiki hiyo, na hiyo nilikuwa nayo zamani kabla hazijaanza kutozwa kodi, nimeenda TRA kubadili TIN iwe ya biashara wakati nafuatilia clearence nikakuta nadaiwa hili deni nifanyeje? msaada jamani
 
Back
Top Bottom