BRELA Arusha wapo??

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Wapambanaji wenzangu, naomba mnijuze kama BRELA wana tawi huku ili nifike mara moja nikafanye usajili. Kuna kipindi nilisikia wanafungua matawi mikoa mingine mbali na DSM, je kwa huku Arusha vip,wapo?
 
Kuna jamaa alisema wapo lkn sina hakika nadhani mpaka Dar bado hawajafungua wale Mapambanaji
 
Wapambanaji wenzangu, naomba mnijuze kama BRELA wana tawi huku ili nifike mara moja nikafanye usajili. Kuna kipindi nilisikia wanafungua matawi mikoa mingine mbali na DSM, je kwa huku Arusha vip,wapo?
Mkuu unataka kusajili nini??kuna baadhi ya huduma wanazitoa online mfano kusajili jina la biashara etc,,binafsi nimesajiri jina la biashara online juzi tu
 
Back
Top Bottom