Heshima kwenu wakuu, naomba kujua kama kuna gharama za ziada mbali na zinazoonekana kwenye calculator ya TRA na ile uliyolipa kwa muuzaji hadi gari kuingia barabarani. Ahsante!
Habari Wakuu,
Kwanza Napenda Kutoa Shukrani Za Dhati Kwa Watu Mbalimbali Wanaotoa Michango Yao Juu Ya Vitu Mbalimbali Hapa Jf Kwangu Mimi Jf Nin Zaidi Ya Ndugu.
Baada Ya Kukaa Mtaani Na Kupigika...
Hello wakuu, naomba kujua habari za visiwa vya commoro, kibiashara zaidi na maisha ya huko kwa ujumla, na je kuna watanzania wanapeleka biashara yoyote huko,
karibuni.
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
The market is bearish in the short-term. Since testing the resistance line at 1.2550 on February 16, price has gone...
Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima wa afya, napenda leo nichangie ujuzi wangu kama mjuzi wa elimu ya ujasiriamali, Nimekuwa nikiona post mbali mbali za watu ambao wamekuwa wakiweka mawazo...
Habar za humu wakuu ,,,
Mimi mwenyez mungu akipenda nakusudia kujihusisha katika biashara ya Mihogo
Ninaomba wale wazoefu wanipe muongozo ...masoko yanapatikanaje na kipi n bora kuuza mwenyew...
Habari yako;
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu na jambo hili nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka, riba nafuu na...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 elimu yangu kidato cha 4 katika harakati zangu za utafutaji wa pesa nimefanikiwa kuanzisha duka.
Kiukweli mwanzo kipindi naanza hali...
Services, not manufacturing, will be the growth sector for Africa, says Stiglitz
Who Said What is a new interactive tool designed by ACET to generate discussion on major economic transformation...
Kichwa cha habari chausika,
Mm nimjasilia Mali Mdogo nawaza kupanua soko LA bidhaa za nafaka,dagaa na mbogamboga kwenda nje hususana USA na CHI ZA ULAYA.
Naomba kujuzwa taraibu na mambo gani...
Habari wapendwa wangu,
Nina mpango wa kuanzisha shule ya awali kuanzia miaka 2 mpaka 5 maeneo ya Tabata.. Naomba kufahamu changamoto, faida na mchanganuo wa gharama ya kufanya hii biashara..Mimi...
Basi hivi ndio nimeamua kuanza mwaka!
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Nimepata hili wazo la kuweka akiba kila wiki...
Kuna mambo huwa ni magumu sana kuelewa....Hivi ni rahisi kujenga barabara ya lami kisha kuifanya ni sehemu maalumu ya wafanyabiashara wadogo?. Chakula kinapangwa barabarani....mbele ya macho ya...
This week's thought revolves about a policy debate on industrialisation. While the ruling party's government, under the leadership of Dr Magufuli, has embarked on industrilisation stratigies...
Watu wengi ambao hawajazama ndani ya biashara wana picha fulani ya kwamba biashara au ujasiriamali ni sehemu bora ya wao kuwepo. Kwa wengine inaweza kuwa sehemu nzuri kuwepo lakini wengi...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kilivyosema .
Nina maswali Yangu ambayo naamini wachumi watanijibu kufasaha na nitaelewa !
1. Kwanini bei ya mafuta inapanda na kushuka ikifika mwishoni...