Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

kwa yoyote mwenye uelewa na hili soko la DSE vizuri, nahitaji msaada ile kujua kwamba ni lazima uwe na broker ili uweze kujisajili kama investor mpya?! nimejaribu kuwasoma vizuri kupitia website...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Likiwa jiji la pili kwa ukubwa nchini na wakazi wapatao 1,000,000 kwa sasa (700,000 mwaka 2012), Mwanza, maarufu kama Rock City, inatarajiwa kuanzisha Soko la Kimataifa la Madini, litakalowezesha...
3 Reactions
16 Replies
7K Views
Nilikuja hapa kuomba ushauri mwaka jana mkanipa ushauri mzuri sana nikaufanyia kazi mwanzo wa mwaka nikaja kuomba tena ushauri na shukuru sana kwa kunipa tena ushauri napenda kuwashukuru wote kwa...
15 Reactions
47 Replies
4K Views
Katika hili ki ukweli sioni hata faida ya Haya ma mashine ya SELCOM na MAXMALIPO maana mawakala wote hapa walikua wanategemea kwa 80% faida ya kamisheni kutoka kwenye Mauzo ya luku. Leo hii...
17 Reactions
51 Replies
14K Views
Kipato cha ziada huwa kinapatikana kutokana na uwekezaji na maandalizi tokea mwanzo.Baada ya kuwekeza mda na kufanya kazi kwa bidii ndipo pato huanza kupatikana itakuletea mapato thabiti bila...
4 Reactions
7 Replies
12K Views
Wanajamvi salaam. Nimeona kama kuna uwezekano wa kuunganisha mawazo, na rasilimali na kuwa na kiwanda kidogo ambacho kitakuwa kikimilikiwa na watz kama 10, bila kuzidi. kuna msingi ninao na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi Mimi ni mjasiriamali ambae bado nachipua nina project ambazo ni startups lakini katika baadhi ya project izo kuna tatizo ambalo lmenitesa sana lakin bado sjapatua ufumbuzi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali sasa hiv inalazimisha watu wa maroli nao wawe wana tfd machine kwa ajili ya kukata risiti ... Je, hii inawezekana vipi na kama mtu ana maroli zaid ya 2 Je, inatakiwa awe na TFDA machine...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Five Star hotel may threaten Zanzibar's Heritage Site status Fish traders at Nungwi beach in Zanzibar. The government will probe some top officials with dubious investment...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inashangaza sana kiukweli.katika pita,pita yangu mitaani nikiwa katika harakati zangu za kujikwamua kiuchumi.nilifika katika mgahawa na kupata chakula cha mchana.pembeni yangu kulikua na vijana...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
DO YOU WANT TO BE ENTERTAINED OR RICH?…IT’S YOUR CHOICE I came across this excellent chart the other day. It shows those times in history when the S&P 500 doubled over a ten year period and the...
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Wakuu mwenye uelewa na biashara ya kutengenez bati, "roll forming " naomba tupeane uzoefu. 1. Roll forming machine bei gani 2. Inatengeneza aina ngapi za bati glazed etc 3.uagizaji wa coils na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu hii hela ni Rupia inayotafutwa kwa udi na uvumba au? Nimeiokota wakati nalima shambani.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Kama kichwa kinavyosema wadau,nimedhamiria kufanya biashara ya kutoa mazao ya samaki wa baharini na kupeleka huko,na week ijayo inanibidi niende kufanya utafiti wa soko huko ila shida yangu ni...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwanini Biashara inafeli sana licha ya mtu kuwa na mtaji wa kutosha na hata mbinu mbalimbali za kukabiliana na changamoto zake?
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama kichwa kilivyo hapo juu nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka na limit ni kiasi gani vipi kuhusu riba nk
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nauliza rate ya kubadili fedha kwa Dollar na Kenyan shilling Dollar 1 inakuwa Kenya shilling ngap kwa sasa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hata ukimpa benefit of the doubt kwamba ni kosa la kimahesabu la kibinadamu na hata tukisema ni karani wake alikosea ku type, bado Assad anaamini kwamba siku deni la taifa likikua likafika zaidi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Account Suspended Kampuni yenyewe bado ipo, au?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom