Upi mkoa wa ndoto za maisha yako?

Moneyowner

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,423
1,251
Mabibi na mabwana hamjambo wote, pole kwa wenye matatizo ya hapa na pale, naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Hivi ni mkoa upi ambao unapambana kila kukicha yawe makazi yako ya kudumu achilia mbali na kwamba umezaliwa huko.

Ila tujikite katika ubora wa manbo yafuatayo:-
1.Huduma za kijamii na miundo mbinu
2.Usalama wa afya na Mali
3.Fursa za kujiongezea kipato na kukuza uchumi binafsi.
4.Gharama za maisha.
5.Hali ya hewa na majanga ya asili.
6. Upatikanaji wa aridhi kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Hii naomba iwasadie pia wafanyakazi wanaohamishwa hamishwa, badala ya kujenga nyumba kila wahamishwako. Kama unapapenda pia ulikozaliwa siyo mbaaya.

Karibuni

@darubinpost
 
MKOA WA PWANI MAENEO YA CHALINZE YAANI NI SEHEMU NZURI SANA NA AREA IS STRATEGIC.KWANZA HATA UKITAKA KUSAFIRI MKOA WOWOTE TANZANIA HUNA HAJA KUANZA MAANDALIZI YA KWENDA KITUONI SAA NANE ZA USIKU SAA MOJA WEWE HUYO MDOGO MDOGO UNAELEKEA KITUONI BILA PRESHA HUKU UNAPERUZI INTERNET UKIWA UMESHIBA .PIA KUNA UNAFUU WA MAISHA KATIKA GHARAMA ZA VITU VYA JIKONI NA NISHATI YA KUPUKIA,GHARAMA YA KODI NA VIWANJA VYA KUJENGA.
 
Back
Top Bottom