Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu


Visacard

Visacard

Senior Member
Joined
May 12, 2017
Messages
158
Likes
89
Points
45
Visacard

Visacard

Senior Member
Joined May 12, 2017
158 89 45
Sijawahi kunyooka kama leo wakuu. Hali yangu si nzuri kabisa yaani nimeishiwa vibaya mno. Hapa nilipo sina hata senti mambo yameniendea kombo
Kila kitu kimeisha hapa wakuu

Naombeni mnisaidie hata mnikopeshe elfu 5 tu inisaidie japo leo maana sijui naishije wakuu. Nimekopa kwa marafiki zangu mpaka naona aibu
Nilikua na hela nafanyia biashara ndogo ndogo mambo yaliyumba ikabidi niitumie kuna jambo nilitegemea sikufanikiwa tena

Naombeni mnisaidie ndugu zangu. Nipo serious ukiona nimekuja kuomba humu ujue limenifika ndugu zangu

Update:
Nashukuru sana kajitokeza mtu kanisaidia mungu ambariki sana
Nashukuruni nyote mlionitia moyo mungu awabariki
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,633
Likes
13,755
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,633 13,755 280
Leta namba yako nikutumie
 

Forum statistics

Threads 1,236,462
Members 475,125
Posts 29,258,766