Nataka kufanya saving ya pesa zangu ambayo nitakuwa naweka kwa mfumo wa dollar

nique bernie

New Member
Oct 19, 2017
4
1
Wakuu habari za mida hii..

Asee nafikiria namna ya kuwa na savings account lakini ambayo itakuwa ni dollar account..

In the sense that..visenti vyangu ntavyokuwa navpata naviweka kwa hyo dollar saving account baada ya kuvibadlsha kupitia Bureau de change..

Nan anafaham bank nzur ambayo haina usumbufu kufungua dola account na charges zake ni za kawaida...

Msaada hapo kidogo
 
KCB Bank ina account inayoitwa SIMBA SAVER ACCOUNT
Baadhi ya sifa zake (siko updated sana maana nimefunguaga zamani)
1. Unaruhusiwa kutoa mara moja kila baada ya miezi 3.
2. Haina makato ya aina yoyote (ledger fees, maintainance etc) sidhani kama kuna benki nyingine inafanya hivi Tz.
3. Wanatoa interest ya 7% kuanzia balance ya US$ 3,000 na kuendelea
4. Kwa account ya shs wanatoa interest kuanzia salio la shs 1.
5. Interest wanakuwekea kila mwezi ie (7%*balance)/12

Kwa maelezo zaidi unaweza NiPM au ukaenda tawini kwao.
 
crdb mkuu
We CRDB nimemtumia ndugu yangu pesa na nimeona zimetoka account yangu na zimeshafika Dar lakini walimwingizia kwenye account yake after 3 weeks? Sitaki hiyo bank. Kama huyo aliyeshauri ya KBC na nyigine ni Akiba bank.
 
KCB Bank ina account inayoitwa SIMBA SAVER ACCOUNT
Baadhi ya sifa zake (siko updated sana maana nimefunguaga zamani)
1. Unaruhusiwa kutoa mara moja kila baada ya miezi 3.
2. Haina makato ya aina yoyote (ledger fees, maintainance etc) sidhani kama kuna benki nyingine inafanya hivi Tz.
3. Wanatoa interest ya 7% kuanzia balance ya US$ 3,000 na kuendelea
4. Kwa account ya shs wanatoa interest kuanzia salio la shs 1.
5. Interest wanakuwekea kila mwezi ie (7%*balance)/12

Kwa maelezo zaidi unaweza NiPM au ukaenda tawini kwao.
Prome
 
Tatizo KUUBWA sana na labda ndio maana hatutoki tulipo ni UJUAJI. wengi wetu ni wajuaji sana.
Mtu kaomba msaada, nijajua na ninatumia hio huduma, kosa ni kumwambia hapa ili na mwingine anayehitaji ajue au kumfata PM?

Soma huu uzi niliuandika miaka minne ilipita huenda ukajifunza chochote kama UNATAKA.
Vitu mwanaume anavyotakiwa kuwa ameshavifanya akifikia miaka 30

Proverbs 23:9 ''Don't speak when a fool is listening, because he'll despise your wise words''
 
KCB Bank ina account inayoitwa SIMBA SAVER ACCOUNT
Baadhi ya sifa zake (siko updated sana maana nimefunguaga zamani)
1. Unaruhusiwa kutoa mara moja kila baada ya miezi 3.
2. Haina makato ya aina yoyote (ledger fees, maintainance etc) sidhani kama kuna benki nyingine inafanya hivi Tz.
3. Wanatoa interest ya 7% kuanzia balance ya US$ 3,000 na kuendelea
4. Kwa account ya shs wanatoa interest kuanzia salio la shs 1.
5. Interest wanakuwekea kila mwezi ie (7%*balance)/12

Kwa maelezo zaidi unaweza NiPM au ukaenda tawini kwao.
Nini sababu ya kulimit kwamba utoe once in three month's
 
Kwa sababu ni account maalumu kwa saving.
Logic ni kwamba, kwa kuwa wao hwakuchaji gharama yoyote, kukuzuia kutoatoa hela kila wakati itawafanya wao waizungushe hela yako wapate faida yao na yako pia. Kwa benk ni mkakati wa kuvutia watu wahifadhi fedha zao

Kumbuka, lengo lako pia ni kufifadhi pesa kwa malengo, kama ni kwa matumizi ya kawaida tumia saving account za kawaida
Nini sababu ya kulimit kwamba utoe once in three month's
 
crdb mkuu
Ao jamaa sio Gud People wanaile account yao ya TANZANITE Account ambayo ndo ya dola asee yan makato yakutolea ni asilimia 1.3% ya pesa unayotoa Kwaiyo kama unatoa dola 700 makato yake ni % 1.3 yaizo dola.. Crdb sitaki ata kuwasikia
 
Back
Top Bottom