Kuotesha uyoga - Naomba msaada na hii changamoto

ThnkingAloud

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
232
180
Katika harakati ya kuotesha uyoga nimekumbana na tatizo la inzi. Hata kabla ya uyoga haujajitokeza wamejitokeza lavae wanaotokana na inzi. Nifanyeje wanakula mycelium??!!
Hii ni baada ya kuchemsha ardhi ya uyoga na kupanda mbegu.
 
Back
Top Bottom