Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu salama! Najaribu kutafakari wazo la Biashara ambayo nitakuwa natoa huduma kwa wenye maduka ya reja reja. Naomba mwenye uzoefu anisaidie wazo au kudadavua ni huduma gani hapo ulipo ambayo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ningependa kujua gharama ya kuanzisha mashine za kukoboa na kusaga nafaka +kinu cha kusaga na motor ake hp +kinu cha kukoboa na motor ake 24hp +gharama zake inakuwaje na zinapatikana wapi kwa bei...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana bodi! Leo naomba tuangalie miongoni mwa sababu za kwa nini biashara nyingi kushindwa kubaki sokoni kwa ndani ya miaka mitano japo biashara nyingi huenda hata hii miaka mitano ikawa...
9 Reactions
8 Replies
4K Views
ndug naomba msaada katika hili, niko na account yangu ya kawaida tu nimefungua crdb ila siku za karibuni nimepata wageni wangu wa njee ya nchii wamenipatia usd kias kama usd 2000. Sasa naomba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Viazi lishe ni aina ya viazi vitamu vyenye very high carotene na fibres with Vitamin A Vinasaidia mtoto kutokudumaa . pia huongeza uwezo wa nguvu za kiume yaani more fire kurudisha heshima...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii habari Nimeisoma zaidi ya mara tatu bila kuchoka kwani mahudhui yake yamekonga sana moyo wangu. Huyu ni kijana mwenzetu ambaye tumebahatika kumuona (aidha kwa macho,au hata kumsikia) kwa namna...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Waungwana habari zenuu..... Najua jambo likiletwa huku hakiharibiki kitu maana huku wapo watu wakila namna.... Niende moja kwa moja kwenye key point... Nataka kuanza kuafanya biashara ya dagaa...
2 Reactions
32 Replies
10K Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo.. Niliwahi kuishi Kigoma karibia miaka miwili,.. Kwa bahati nzuri kipindi nahama niliuza vitu vyangu vyote vya ndani ispokua kitanda na godoro tu. Lakini...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
UNDP inaendelea na tafsiri kwamba maendeleo ya watu ni kutanuka kwa machaguo. Uhuru na uwezo ni maeneo yenye tafsiri pana kuliko mahitaji ya lazima. Hapo maana yake ni kwamba maendeleo ya watu...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Napata wakati mgumu kuelewa, hizi bank ukienda kuuliza riba ya mkop wa kias flan ni sh ngap.. Wanakujibu kwamba ukichukua kiasi flan let say 13m rejesho lake ni kiasi flan.... Bila kukuambia...
3 Reactions
152 Replies
70K Views
[emoji666]Ipo mahungu-jijini dodoma [emoji666]kiwanja chake kimepimwa(ukubwa wa square metres 450) [emoji666]Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja kikiwa ni master. [emoji666]Ina...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwema Vijana Wenzangu ? Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia...
7 Reactions
171 Replies
13K Views
Habari wakuu je ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka wa million moja na nusu m1.5 kwa dhamana ya million 3 msaada wenu tafadhali Locatio:Dar es salaam Vitu vya dhamana 1.washing machine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mobile application nataka kutengengeza. Nahitaji developer mwenye uzoefu kwa ajili ya kushirikiana nae. Awe na muda na yuko based dar es salaam. Please pm ili tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Milk and honey nourishing gold sugar scrub -Hii ni scrub maalumu yenye mchanganyiko wa maziwa na asali. -hii ni body scrub na kazi yake ni kuondoa seli za ngozi zilikufa na kuucha mwili wako ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu ni 100% new na original Cont: 0684050718 Nipigie au nitumie message tuyapange
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Assalam wana jukwaa kichwa chajieleza, nina mzigo mkavu/cargo upo DSM lengo ni kuusafirisha hadi mikoani hivyo nahitaji magari makubwa yanisafirishie. magari yawe na sifa zifuatazo i/makubwa yenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Kuna shati nazipenda sana ila sijui wapi naweza kupata. Yoyote mwenye uelewa naomba anielekeze wapi ntapata
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wanabodi napenda kukaribisha madalali na wamiliki wa vyumba na wengineo wote ili nipate chumba , eneo ninalotaka mikocheni, oysterbay au kinondoni ili niwe karibu na eneo la kazi , chumba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom