Barclays Bank kuwa ABSA Bank kwa Afrika

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
Bank za Barclays barani Afrika kubadilishwa jina na sasa kuwa ABSA bank, hii ni baada ya Barclays ya Uingereza kuamua kuachana na biashara ya Africa na kuuza hisa zao nyingi za Barclays Africa.

 
Back
Top Bottom