Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kuna mobile application nataka kutengengeza. Nahitaji developer mwenye uzoefu kwa ajili ya kushirikiana nae. Awe na muda na yuko based dar es salaam. Please pm ili tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Milk and honey nourishing gold sugar scrub -Hii ni scrub maalumu yenye mchanganyiko wa maziwa na asali. -hii ni body scrub na kazi yake ni kuondoa seli za ngozi zilikufa na kuucha mwili wako ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu ni 100% new na original Cont: 0684050718 Nipigie au nitumie message tuyapange
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Assalam wana jukwaa kichwa chajieleza, nina mzigo mkavu/cargo upo DSM lengo ni kuusafirisha hadi mikoani hivyo nahitaji magari makubwa yanisafirishie. magari yawe na sifa zifuatazo i/makubwa yenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Kuna shati nazipenda sana ila sijui wapi naweza kupata. Yoyote mwenye uelewa naomba anielekeze wapi ntapata
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wanabodi napenda kukaribisha madalali na wamiliki wa vyumba na wengineo wote ili nipate chumba , eneo ninalotaka mikocheni, oysterbay au kinondoni ili niwe karibu na eneo la kazi , chumba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu Kama wiki zimepita mimi na mwenzangu tumeanzisha biashashara ya kusambaza nafaka sasa tumepata tenda la kusambaza kama tani 5 hivi na mtaji wetu ni mdogo hautoshi hivyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wazee huyu jamaa inaonekana kuwa amejipanga sana kibiashara kutokana na wingi na aina ya matangazo yake. Nani amjua mwenye biashara hii kubwa na muhimu ya NEEL salt?
4 Reactions
127 Replies
33K Views
Dada anataka kufanya Biashara,naweza kumchukulia 1m kwenye kicoba. Lakini Marejesho ni baada ya miezi 3. Je afanye biashara gani ambayo at least ataweza kulipa marejesho. Wale wa mizaha bora...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani huu utaratibu wa benki kukopesha watumishi kupitia simu (mobile) haukiuki utaratibu uliowekwa na serikali wa 1/3 ya mshahara wa mtumishi ,utaratibu wa ukomo wa kukopa unafuatwa ?kama kuna...
0 Reactions
2 Replies
687 Views
Habari wadau Nina Mashine ya popcorn mpya inatumia umeme! nahitaji mtu wa uifanyia kazi. Awe mwaminifu. Nipo Lushoto Tanga. mahali pa kazi sio lazima huku maana huku mim nipo kwa muda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi kumekucha salama? pole na hekaheka za maisha. Naomba kujua naweza pata wapi elimu juu ya water recycling kwasababu nataka kuingia kwenye ufugaji wa samaki hapa Dar, kwa kutumia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau,naomba ushauri kidogo,ukiwa mfano umekodisha frame na ukaamua kufungua au kuweka bidhaa za matunda,spices na mbogamboga,Je ni vibali gani utahitajika uwe navyo?msaada kwa anayejua...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Habari ndugu zangu tafadhali tujuzane juu ya biashara ya machine ya kukoboa na kusaga nafaka. 1.Mashine yenyewe; kiwango cha chini kabisa cha fedha cha kuweza kununua machine yenye tija ...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
IliyotanguliaIfuatayoOriflame for YOUR DreamsYAJUE MAFUTA YA AJAB KWA JINA LA WONDER OIL.Bidhaa hii ya wonder oil imetengenezwa Na virutubisho maalum vya kutunzia ngozi zetu, ikiwemo:Mafuta ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna fremu ya familia ilianzshwa biashara Ila biashara ikawa inafilisika kila xku...na sababu kuu ni; 1.Muingiliano wa usimamiz(kila mwanafamilia alkuwa ni muhusika) 2.matumizi ya hela(kila kitu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nlikua nafikiria kua wakala wa moja ya makampuni ya sports betting,, sema sasa makamouni yapo mengi mtu ambae yupo mzoefu na kampuni bora ya kubet ambayo ina incentives nzuri ansaidie...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
habari wana jf naomba kupata elimu juu ya namna ya kufanya vat ruturn online endapo kampuni inafanya mauzo, na endapo kampuni haifany i mauzo yeyote yaani haizalishi. elimu hii itawafaa na wengine...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu kichwa cha habari chahusika. Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia...
0 Reactions
125 Replies
12K Views
Habari za mchana wana forum. Nisiwachoshe na maandishi mengi; mimi ni kijana ambaye nina uzoefu kidogo na miti na matumizi yk nipo dsm kwa sasa kwa mapumziko ya mwezi hapa nilikuwa nataka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom