Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Tujuzane Mbinu za utengenezaji, Faida, na Hasara za kutumia mkaa huu wa karatasi, , Kwa wenye ujuzi Tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu habarin za jioni..naombeni ushaur na maelekezo ya kitaalam coz naamin wataalam wapo humu...inshu ni hvi nataka nifanye biashara ya kupiga muziki kweny matukio kama sherehe madisco n.k sasa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Nimekuwa na wazo la kuanzisha utengenezaji wa mishumaa iliyowekewa dawa inayofukuza mbu. Nimefuatilia baadhi video youtube zinazoonyesha namna ya kutengeneza mishumaa nikajifunza na...
2 Reactions
2 Replies
7K Views
Nina wazo la kuanzisha "factory" ya kutengeneza Pencils. Eneo ninalo, Nyololo, Iringa. Najaribu kutafiti ni aina gani za Machine na VIFAA vya kufanyia uzalishaji... Pia upatikanaji wa Raw...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wenzangu, jana nimechelewa kidogo kuangalia kikao cha diaspora na waziri wa katiba na sheria mh. Prof Paramagamba Kabudi, ila nikasikia diaspora mwanzoni kabisa walikua wameainisha fursa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimevutiwa kutumia hii fursa ya kutengeza mkaa wa karatasi, lakini bado sijajua Mbinu, Faida, na Hasara zake, Kwa wenye ujuzi Tusaidiane Tafadhali
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wandugu!! Naomba kama kuna yeyote aliye maeneo au ana contacts reliable za kibiashara hasa Mbao na mazao mengine kama Korosho kutokea ukanda huo wa Mtwara Wilaya ya Nanyumbu. Tuwasiliane...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wadau! Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu ni bidhaa gani zinazosafirishwa kibiashara kutoka Tanzania kwenda Nchini Italia..iwe Mazao au Chochote anachokifahamu. Natanguliza Shukrani zangu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana JF mnanishaurije nahitaji anzisha service ya udalali (kampuni ya kuuza, kupangisha n.k) vipi mazingira ya dar yanaruhusu? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu JF? Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, nimekuwa na wazo la kujiajiri kwa kuzingatia taaluma yangu na ujuzi kiasi katika masuala ya sheria ya kodi na usimamizi, na pia...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimeona press release ya Kenya Revenue Authority (TRA ya kenya) kuhusu kucharge VAT kwenye bidhaa za mafuta. Wachumi, wataalam wa biashara hili suala lina effect ipi kwenye uchumi? Je tunaweza...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Wakuu Salama, Nahitaji kusajili kampuni ambapo ntaanza na mimi kutafuta tenda au kazi ndogondogo(digital marketing) kutoka kwa makampuni madogo madogo au watu binafsi. Nakwepa kutumia makampuni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wakuu lengo langu kubwa ni kuwafikia wateja walipo kwa bei ile ile ya kariakoo, kuwasaidia wafanya biashara wanaotoka mikoani na kufata mzigo, mtu mmoja mmoja anayefuata mahitaji...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Ninatembelea kila jukwaa, sioni updates za mnada wa makontena. Umeahurishwa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Nguvu Ya Rangi Katika Biashara Zetu Na: Albert Sanga, Iringa. Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja...
15 Reactions
29 Replies
13K Views
Habari zenu Watanzania, Ninataka kuagiza mashine ya kuchimba visima ila sijui ni vitu gani muhimu vya kuangalia kwenye mashine. Kuna hii hapa nimeona kama iko poa sana ila nahitaji ushauri kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
*GOOD NEWS: TUME YA TAIFA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WAJASIRIAMALI NA WABUNIFU* [emoji383] *Million 40.Tshs watapewa Kwa kila wazo bora ambalo litaleta maendeleo...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu habar, nategemea kusafir kwenda dubai mwezi ujao. Naenda kununua vifaa vifuatavyo Tv za inch 32 nne, zenye thamanai ya kama dirham ya UAE 600 kila moja , xbox 1 x yenye thamani kama ya...
1 Reactions
2 Replies
817 Views
Back
Top Bottom