Waafrika popote walipo wanaokwerwa na wizi na uporaji wa mali zao unaofanywa na watawala wao wangefurahia wangekuwa na rais kama wa kwetu, JPM ambae kiuchumi hana mpinzani chini ya jangwa la...
Habari zenu.....
Naitaji Msaada wa machimbo mazuri ya Vitenge kwa dar es salaam coz naitaji kufanya biashara ya Vitenge but sijajua niwapi nitapata Vitenge vizr na kwa bei nafuu naitaji Msaada...
Misingi mitano ya taaluma ya Uhasibu na Ukaguzi.
1.Uadilifu (Integrity)- Mhasibu unatakiwa kuwa muwazi na muaminifu katika maswala ya taaluma na vinavyohusiana na kazi
2.Usawa (Objectivity)-...
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) linatarajiwa kuanza kupata faida mwaka 2023, kulingana na Mpango wake wa kibiashara wa mwaka 2017/2022. Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hivi...
Wakuu,
Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro.
Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k.
Je ni sehemu salama pia?
Asanteni.
Sawa, najua mnaambiana kuwa hakuna tajiri aliyeajiriwa. Acheni upotoshaji, kila tajiri kaajiriwa na biashara yake na anafuata masharti na matakwa ya biashara yake la sivyo hio biashara itampiga...
habari humu, nahitaji partner wakuanzisha nae biashara ya salon yakike, Nipo Dar.. Mimi najua kuseti, kufanya Makeup, kushonea weaving zote na kutengeneza wigs vizuri kabisa. Mtu nnaemuhitaji awe...
Naombeni msaada wa kujua haya ni madini gani na soko lake likoje,kwenye shamba la bibi yangu Tanga mombo wakati analima amekutana na mawe meusi halafu jembe limetanasa kama sumaku.Je hayo ni...
Dreamliner to make debut landing at JKIA
The Dreamliner Boeing 787 - which first took to the skies in September
The Dreamliner Boeing 787 - which first took to the skies in September - will...
Baada ya kuhamasika na kulima zaidi mihogo badala ya mahindi waliyoyazoea kama zao la biashara na chakula. Baada ya mafanikio ya wakulima wa kijiji cha Kwamsisi kupitia mihogo na wengine kuiga...
Heshima yenu wana JF..[emoji112]
Mimi ni mwanafunzi wa chuo naomba kufahamishwa biashara au fursa gani naweza kufanya yenye mtaji mdogo.
Naamini kuna wadau walisha soma na wengine wanasoma ila...
Habari za majukumu wakuu,
Naomba mwenye ujuzi na uzoefu juu ya masuala ya ujenzi anisaidie. Nahtaji kujenga nyumba ya vyumba vitatu kiwanja tayari ninacho na mshahara wangu ni laki 7 kwa mwezi...
Nilikuwa naangalia KTN hapa; naona twiga cement wame suspend uzalishaji wa cement kwa kipindi kisichojulikana kuanzia leo. Tutegemee bei ya cement kwenda chini zaidi.
Wanyonge wa tz wanaendelea...
Hi wanajukwaa,nimekua nikituma mizigo Botswana kwa njia ya DHL ,ni garama sana hii njia kwa kweli, naombeni njia nyingine rahisi kwa wenye uzoefu kusafirisha mizigo kwenda Botswana kutoka Tanzania.
wakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja...
Walionunua ving'amuzi vya Azam, DStv, Zuku walifahamu kabla ya kuvinunua kuwa ni vya kulipia.
Walivinunua kwa kazi nyingine, sio kwaajili ya kuangalia TBC, ITV, Channel ten, Clouds na Star tv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.