Ipi ni nzuri kati ya DHL na EMS kupokelea mzigo?

Kyooma

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
224
98
wakuu naomba mnisaidia kwa mara ya kwanza nimeagiza parcels zangu toka china ipi njia bora kati ya dhl na ems ipi mzigo unafika haraka zaidi
 
EMS umekaa local sana, huwezi kutrack mzigo ulipo, na hawakuletei ulipo, wanauacha posta iliyo karibu na kwako
 
Back
Top Bottom