Biashara ya Mtaji wa Milioni 15

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,906
Habari wadau;
Ndugu yangu ako na 15,000,000 nahitaji biashara itakyompa profit isiyopungua 3m kwa mwezi.Je ni biashara gani inaweza kuwa na return hiyo

Asnateni kwa msaada
 
Nina shida na hicho kifaa ila sijui wapi ntapata.Kwa anayefahamu anijuze tafadhali

Habari wadau;
Ndugu yangu ako na 15,000,000 nahitaji biashara itakyompa profit isiyopungua 3m kwa mwezi.Je ni biashara gani inaweza kuwa na return hiyo

Asnateni kwa msaada
Niajiri tupeleke mahindi kusini maana kule kuna njaa wakati mikoa mingine 8000 kule lishafika 15
 
Jaribu Hardware,kama ukipata eneo zuri,utafanikiwa sana,unaweza fungua duka moja kubwa au ukawa na mawili ya size ya kati..
 
Ninafahamu ila for a start unaweza kuanza na hiyo hela,ingawa sio mzoefu sana ila huo ni mtazamo wangu..
Stephot biashara ya hardware inahitaji mtaji mkubwa.Lakini pia huchukua muda kuweza kusimama!!!Na location ni muhimu sana wakati wa kuweka ofisi,mfano karibu na garages zilipo,n.k
Tofauti na biashara za nafaka,hotel,n.k ambazo huitaji kutoa huduma bora kupata wateja na kutambulika kwa biashara yako zaidi ya location tu.
 
Hapo kwenye faida ya milioni 3 kwa mwezi kuna dosari.It takes time to build profit,market,etc!!!Chagua biashara ambayo unaiproject italeta faida hiyo au zaidi baada ya kipindi flani,ila kama baada tu yakufungua unaanza kupiga faida hizo basi iyo constellation itakuwa sio ya universe hii
 
Habari wadau;
Ndugu yangu ako na 15,000,000 nahitaji biashara itakyompa profit isiyopungua 3m kwa mwezi.Je ni biashara gani inaweza kuwa na return hiyo

Asnateni kwa msaada

Nitafute nikuuzie barbershop kwa 10ml nzuri kubwa ina viti vitano, kila week kwa week utapata laki moja, kwa vitano laki tano, kwa mwezi million mbili hapo bado hujapata deal za maharishi. Gharama zako ni service za mashine, jenereta, AC, na kodi ya nyumba.
 
Habari wadau;
Ndugu yangu ako na 15,000,000 nahitaji biashara itakyompa profit isiyopungua 3m kwa mwezi.Je ni biashara gani inaweza kuwa na return hiyo

Asnateni kwa msaada
karibu uwe partner kwenye biashara ya club inayotegemewa kufunguliwa hivi punde only6 miilion needed from you
 
Back
Top Bottom